Mbunge CCM amtofautisha Lissu na Nyalandu
Mbunge wa Singida Kaskazini Justine Monko amemtaka Kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Lazaro Nyalandu, asijifananishe na Mbunge Singida Mashariki Tundu Lissu na kueleza kuwa hawataweza kushinda majimbo yote Mkoa wa Singida.