Adumu na kutoona kwa miaka 34, aomba msaada William Mathias Mkazi wa Misungwi Mkoani Mwanza William Mathias amewaomba wasamaria wema kujitokeza kumsaidia kupata matibabu kutokana na tatizo la kutoona ambalo linamkabili. Read more about Adumu na kutoona kwa miaka 34, aomba msaada