Mama ajifungua mtoto kwa wembe
Mbunge wa Nkasi Kaskazini Ally Kessy amelalamikia juu ya uwepo elimu hafifu hususani kwa baadhi ya kinamama, na kueleza imepelekea mama mmoja ambaye alikuwa ni mjamzito jimboni kwake kujifanyia operesheni mwenyewe, kwa kutumia wembe bila kwenda Hospitali.