Wanaume wavuta Sigara hatarini
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani na Upasuaji Harisson Chuwa kutoka Hospitali ya Agakhan, amesema miongoni mwa madhara yanayosababishwa na matumizi ya Tumbaku ni wanaume kushindwa kushiriki tendo la ndoa kutokana zao hilo kuathiri zoezi la kusukuma damu mwilini.