Nyalandu azungumzia kurejea jimboni kwake
Aliyekuwa Mbunge ya Singida Kaskazini kupitia (CCM) ambaye sasa ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lazaro Nyalandu amesema kuwa hatarajii kurudi jimboni kwake na hajawahi sema kuwa ana nia ya kugombea nafasi yoyote.