Bilioni 27 zilizotoroshwa na askari zarudishwa
Serikali imekabidhiwa mali zilizotaifishwa na mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza yakiwemo madini aina ya dhahabu zaidi ya kilo 325 yenye thamani ya shilingi bilioni 27 ambayo yalikuwa yanatororshwa na wafanyabiashara wa madini walioshirikiana na askari.