Makamba ataja faida za TZ kusitisha mifuko
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi 60 Duniani ambazo zimepiga marufuku suala la mifuko ya plastiki ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya Jumuiya za Kimataifa.