Timu 8 za ligi kuu kushuka daraja leo

Nembo ya ligi kuu soka Tanzania bara

Kuelekea mechi za mwisho za ligi kuu soka Tanzania bara leo Mei 28, 2019, msimamo wa ligi unaonesha timu 8 zinaweza kushuka daraja itkitegemeana na timu inapata matokeo gani kwenye mechi yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS