Siku ya uchaguzi vituo kufunguliwa saa 1 asubuhi
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufani (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk leo Julai 15, 2025 amefungua mafunzo ya watendaji wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 Mjini Unguja, Zanzibar ambapo amewasisitiza watendaji hao kuhakikisha vifaa vya uchaguzi wanavyopokea kutoka