Starmer kukutana na Trump leo Alhamis
Starmer anatumai kuwa maafikiano baina yao hayatabadilika huku akipanga kumzuia kiongozi huyo wa Marekani kuangazia katika maeneo nyeti zaidi ya Uingereza, kama vile sheria za usalama mtandaoni za Uingereza na msimamo wake kuhusu Israel.