Rais aliyefungwa jela kwa kujihusisha na ushoga
Ukiitaja nchi ya Zimbabwe wengi wanajua kuwa Robert Mugabe ndiye Rais wa kwanza wa nchi hiyo tangu uhuru mpaka sasa, na ndio maana hata alipoondolewa madarakani, alipewa heshima ya kuwa Baba wa Taifa hilo.