Usajili Ulaya wamgusa mshambuliaji wa Tanzania

Shaaban Chilunda wa kwanza kulia.

Nyota wa zamani wa klabu ya Azam FC anayekipiga nchini Hispania katika klabu ya CD Tenerife Shaaban Idd Chilunda, ametolewa kwa mkopo kwenda klabu ya CD Izarra ya nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS