CAG amjibu Spika Ndugai, afafanua neno 'udhaifu' Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali nchini CAG, Profes Mussa Assad ametetea kauli yake ya kuwa Bunge ni dhaifu na kusema neno hilo amekuwa akilitumia mara kwa mara kwenye ripoti zake. Read more about CAG amjibu Spika Ndugai, afafanua neno 'udhaifu'