Waziri mstaafu ataka kina Mbowe waachiwe

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe.

Wito umetolewa kwa Mamlaka zenye dhamana nchini kuwaachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini, Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa Tarime Mjini Mh. Esther Matiko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS