Benki nyingine yafungwa nchini Naibu Gavana Dk. Bernad Kibese Benki Kuu ya Tanzania BOT imehamishia mali na madeni yote ya Bank M kwenda Azania Bank baada ya benki hiyo kushindwa kuwahudumia wateja wake pamoja na kulipa madeni yao. Read more about Benki nyingine yafungwa nchini