"Wametufunga lakini wajiangalie sana" - Musa Mgosi Musa Mgosi Staa wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania, Musa Hassan Mgosi ametoa tahadhari kwa mapingwa wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC kwa namna wanavyocheza. Read more about "Wametufunga lakini wajiangalie sana" - Musa Mgosi