Azam FC yaizima Simba, yatwaa jumla Mapinduzi Cup

Azam FC baada ya kukabidhiwa kombe lao.

Mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam FC na Simba SC umemalizika kwa wekundu wa Msimbazi, Simba SC kukubali kichapo cha mabao 2-1 katika Uwanja wa Gombani kisiwani Pemba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS