Dogo Janja aanika mpenzi mpya baada ya Uwoya

Dogo Janja akiwa na mwanamke anayedaiwa kuwa mpenzi wake mpya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdulaziz Chende maarufu 'Dogo Janja' ameonekana akiwa kwenye mapozi yenye utata na mwanamke ambaye anadaiwa kuwa ndiye mrithi wa Irene Uwoya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS