Shule za binafsi zapigwa marufuku kupandisha Ada Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amepiga marufuku kupandishwa kiholela kwa ada na michango isiyo na tija kwa shule za Umma na binafsi jambo ambalo limekuwa kero siku za hivi karibuni. Read more about Shule za binafsi zapigwa marufuku kupandisha Ada