Rais Magufuli adai kumuweka kiporo DC

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli

Rais John Magufuli ameweka wazi kwamba amewaweka kiporo Mkuu wa Wilaya ya Gairo na Mkurugenzi wake kutokana na matendo yao ya kugombana badala ya kufanya kazi hivyo wasifikiri kwamba hafahamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS