"Mkituheshimu sana tutakufa" - Waziri
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawasiliano, Injinia Isack Kamwelwe amewataka Askari wa Usalama Barabarani kufuatilia utekelezaji wa masuala ya sheria hata katika vyombo vya usafiri vya serikali ili kuhakikisha inapunguza ajali.