''Hii ni bahati mbaya zaidi kwa Simba'' - Aussems Patrick Aussems Kocha mkuu wa mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara, Patrick Aussems amesema ni bahati mbaya kumkosa mlinzi wake Erasto Nyoni kwenye mechi dhidi ya JS Souara Jumamosi hii. Read more about ''Hii ni bahati mbaya zaidi kwa Simba'' - Aussems