Mpango wa Zahera watimia, Yanga yatupwa nje

Wachezaji wa Yanga na Malindi kwenye mchezo wa leo

Klabu ya soka ya Yanga imetupwa nje ya michuano ya Mapinduzi Cup baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 kwenye mchezo uliomalizika usiku huu kwenye uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS