'Udhaifu' wa Bunge wamponza CAG na Mdee
Spika wa Bunge Job Ndugai (Mb) amemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima Mdee kufika mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujieleza kufuatia kauli za kudhalilisha Bunge.