Dogo Janja na Uwoya, mapya yaibuka Baada ya ndoa ya wasanii wawili bongo Irene Uwoya na Dogo Janja kuingia doa na kufikia hatua ya kurushiana vijembe mitandaoni, baba mlezi wa Dogo Janja, Madee Ali 'Seneda' ameingilia kati suala hilo. Read more about Dogo Janja na Uwoya, mapya yaibuka