Marekani yamkalia kooni R. Kelly
Msanii nguli wa muziki wa Marekani, Robert Kelly maarufu kama R. Kely, amekuwa kwenye wakati mgumu baada ya filamu inayoelezea maisha yake kuanza kurushwa hewani, huku ikionesha ukatili wa kingono aliokuwa akiwafanyia mabinti wadogo na baadhi ya wafanyakazi wa kike.