Chirwa atoa onyo jipya kwa Simba, Yanga Obrey Chirwa Mshambuliaji wa klabu ya Azam, Obrey Chirwa ameelezea azma yake ya kutaka kuzifunga Simba na Yanga katika Ligi Kuu Tanzania Bara zikiwa na vikosi vyao kamili. Read more about Chirwa atoa onyo jipya kwa Simba, Yanga