Kanisa latoa neno kuhusu 'ulawiti wa watoto'

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha Mhashabu Isaac Amani amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaovunja haki za watoto pamoja na kuendesha vitendo vya ulawiti kwa watoto wadogo huku akiwataka wazazi kuwajibika katika kuwatunza watoto ili kuhakikisha wanakomesha vitendo hivyo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS