Mbowe, Zitto wasalitiwa na kijana wao
Wakati Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe na viongozi wawili kutoka Chama cha wananchi CUF, wakipinga muswada wa mabadiliko ya sheria mahakamani, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Alliance For Development Organisation, Habib Mchange amesema muswada huo utaimairisha demokrasia ya vyama.