'Mimi niletee kesho hawatakuwepo nawatambua' - JPM
Rais John Pombe Magufuli amemtaka Kaimu Mtendaji mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bi. Vumilia Zikankuba kuwaondoa viongozi wote ambao wanakwamisha utekelezaji wa mambo mbalimbali ndani ya NFRA.