Mkurugenzi afunguka Polepole kushusha Mapato
Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma imeshindwa kufikia lengo la kukusanya mapato ya Shilingi Milioni 200.8 kwa mwezi kutokana na utendaji mbovu wa Watendaji, kushindwa kusimamia vyema ukusanyaji huo na sio Katibu mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole kama inavysemekana.