Kesi ya Mbowe na wenzake yapigwa kalenda
Upande wa mashtaka katika kesi inayowakabili viongozi tisa wa chama kikuu cha upinzani nchini Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe umedai unasubiri uamuzi ya Mahakama ya Rufaa.