Wagonjwa walioombewa na Rais Magufuli kwa siku 4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Januari 02 Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, amemjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu Jijini Dar es Salaam baada ya kufanyiwa upasuaji.