Bulaya atoa neno kujiuzulu kwa Waziri
Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya ambaye pia ni Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira ameendelea kushikilia msimamo wake wa kumtaka kujiuzulu kwa Waziri Jenister Mhagama kufuatia maamuzi yaliyotolewa na Rais Magufuli juu ya hatma ya kikotooo kwa