Barnaba asema kwanini ameamua kuimba Gospel Barnaba Msanii wa Bongofleva Barnaba Classic, ameamua kuimba muziki wa Injili na ameachia 'EP' yenye nyimbo 6 ambayo ameshirikiana na msanii mwingine Damian Soul. Read more about Barnaba asema kwanini ameamua kuimba Gospel