Utata waibuka gari la Mbunge wa CCM lililokamatwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amesema hana taarifa yoyote ya kukamatwa kwa gari ya Mbunge wa Jimbo la Kibiti, kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Ally Ungando ambaye taarifa za kukamatwa kwa gari yake zilianza kusambaa leo kupitia mitandao.