Rais Shein ataja Amani, Mshikamano Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi wa Zanzibar kuendelea kuidumisha hali ya amani na utulivu ambayo ndiyo msingi wa mafanikio yanayoendelea kupatikana hivi sasa.