Simba yatofautiana na Yanga, yaonesha utii
Licha ya kukabiliwa na mechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi klabu ya Simba, imesema itasafiri siku ya Jumatano ya tarehe 2.01.2019, kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya kushiriki mashindano ya kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni.