Sababu ya wanafunzi 38,842 kutofanya mtihani
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Dk Charles Msonde, amesema watahiniwa 506,235 walisajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha pili kati yao wanafunzi 38,842 sawa na asilimia 7.13 hawakufanya mtihani kutokana na ugonjwa na utoro.