Kaburi lafukuliwa, Sanda yachomwa moto

Taharuki  katika kitongoji cha Kipondoda wilayani Manyoni mkoani Singida baada ya kaburi moja ambalo linadaiwa kuzikwa mtu siku tano zilizopita na kukutwa limefukuliwa huku sanda ikiwa imechomwa moto upande wa miguuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS