Rasmi Ibrahim Ajibu apewa uongozi Yanga

Ibrahim Ajibu

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amefanya mabadiliko ya uongozi kwenye kikosi chake kwa kumvua kitambaa cha unahodha mlinzi Kelvin Yondani na kumkabidhi mshambuliaji Ibrahim Ajibu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS