CCM yataja viongozi watakaowakata kwenye uchaguzi
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally, amesema chama hicho hakitasita kuyakata majina ya wananchama wake ambao watabainika kutumia njia ambazo si halali ili kuhakikisha wanapewa nafasi ya kugombea uongozi kwenye chama hicho.