Mkinichagua kila mwananchi atalipwa laki tano
Katibu Mkuu wa Chama Cha Makini Taifa, Ameir Hassan Ameir, amesema kuwa endapo wananchi wa Zanzibar watampa ridhaa ya kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika uchaguzi ujao, atahakikisha kila mwananchi wa Zanzibar anapokea mshahara wa shilingi 500,000 za Kitanzania