Rais Ruto atangaza msimamo mzito kwa waandamanaji
Rais William Ruto ameagiza polisi nchini Kenya kutumia nguvu zaidi dhidi ya watu wanaojihusisha na uporaji au uharibifu wa mali wakati wa maandamano, akisema kuwa wanaopatikana wakifanya vitendo hivyo wapigwe risasi kwenye miguu ili kudhibiti machafuko.