TFF yamkana Beno Kakolanya Beno Kakolanya Shirikisho la soka nchini (TFF), limesema taarifa zinazosambaa kuwa kamati ya hadhi za wachezaji ya TFF, imeidhinisha kuwa kipa wa Yanga Beno Kakolanya ni mchezaji huru kutokana na kuidai Yanga, si za kweli. Read more about TFF yamkana Beno Kakolanya