Hakuna kuwasha taa uwanja wa taifa

Uwanja wa taifa Dar es salaam

Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limetoa taarifa kwa klabu zote za ligi kuu Tanzania bara kuwa mechi zote zitakazochezwa katika uwanja wa taifa zitachezwa saa saa 10 jioni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS