TFF yabadili maamuzi ya mechi ndani ya saa 24
Shirikisho la soka nchini TFF limepangua maamuzi yake ya jana ambayo yalikuwa yamebadilisha muda wa mechi zilizopangwa kuchezwa usiku kwenye uwanja wa taifa na kuzirudisha mchana, ikiwa ni baada ya masaa 24 tu kupita.