AY afunguka kuhusu kuwasimamia Psquare

Peter Psquare, Ay na Paul Psquare

Rapa mkongwe kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, AY a.k.a mzee wa Comercial amesema anajivunia kuwa msanii mwaminifu jambo ambalo lilimpa nafasi ya kufanya kazi na wasanii wengi wakubwa wakiwemo Psquare.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS