Singida United yauza mwingine Mamelodi Sundowns Habibu Kyombo akiwa na Mkurugenzi wa Singida United wakati wa utambulisho wake. Mshambuliaji wa klabu ya Singida United, Habibu Haji Kyombo amefuzu vipimo vya afya kwenye klabu kubwa barani Afrika ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Read more about Singida United yauza mwingine Mamelodi Sundowns