RC azungumzia tukio la ajabu lililotokea Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti amesema kuwa wanaendelea kufanya mawasiliano na wataalamu wa jiolojia ili kuweza kubaini ni kitu gani kilichotokea usiku wa kuamkia leo mji ambacho kilisababisha kishindo kikubwa na muungurumo uliotanguliwa na mwanga mkali.